Mwanafunzi wa taasisi ya Kenya Industrial Training Institute- Nakuru abakwa
4th November, 2019
Mwanafunzi Mmoja Katika Taasisi Ya Mafunzo Ya Viwanda Huko Nakuru Ameripotiwa Kubakwa Na Watu Watatu Wasiojulikana. Inadaiwa Kuwa Alitendewa Unyama Huo Saa Tisa Alfajiri Ya Leo.