.
4th November, 2019
Kituo Cha Kwanza Afrika Mashariki Kinachotumia Teknolojia Ya Kisasa Kufunza Sayansi Ya Sayari Pamoja Na Safari Ya Kwenda Kwenye Mbalamwezi Na Sayari Nyinginezo Kimeanza Shughuli Zake Nchini. Kituo Hicho Kinatumia Technolojia Kuwaunganisha Wanafunzi Humu Nchini Wanaotaka Kwenda Kwenye Mwezi Kuweza Kufanya Kazi Pamoja Na Wanafunzi Wengine Ulimwenguni.