.
16th April, 2019
Familia moja kutoka eneo la likuyani sasa inaitaka hospitali kuu ya Kakamega kuwapa muafaka kuhusiana na kitendawili kinachozingira wanao pacha. Kijiji cha fafaroh kimeamkia kisa cha kushangaza baada ya pacha hao kuonana baada ya miaka 19 wakiwa na mama tofauti.