Serikali imetangaza kuanza kuwatoza Wakenya ushuru wa asili mia 1.5 ya mapato
16th April, 2019
Serikali imetangaza kuanza kuwatoza Wakenya ushuru wa asili mia 1.5 ya mapato yao kuanzia tarehe mosi mwezi mei. Fedha hizi zitatozwa waajiri na waajiriwa.