Hoteli moja katika Kaunti ya Uasin Gishu imewavutia wengi kutokana na mtindo wa mapishi yake
16th April, 2019
Mtazamaji kila wiki huwa tunakuletea makala ya bongo la biashara. Kutoka Kaunti ya Uasin Gishu ambapo hoteli moja imeendelea kuwavutia wengi kutokana na mtindo wa mapishi yake.