.
6th April, 2019
David Ouma Ochieng’ wa chama cha Movement for Democracy and Growth?MDG ndiye mbunge mpya wa Ugenya. Ochieng’ aliibuka mshindi baada la kumlambisha sakafu mpinzani wake wa Karibu Chris Karani wa ODM kwa kuzoa kura elfu 18,730 huku karani akimaliza wa pili kwa kura elfu 14,567. Wagombeaji wengine wawili daniel juma na brian omondi walipta chini ya kura mia 100 kama mwandishi wetu duncan khaemba ambaye amekuwa amekita kambi huko Ugenya wiki nzima anatufahamisha akiwa mji wa Sega, Ugenya.