.
6th April, 2019
Gumzo la suala la ufisadi na utendakazi wa serikali kukabiliana na ufisadi linaendelea kutanda nchini hususan kufuatia hotuba ya rais kwa taifa na kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa serikali. Wakiwa sehemu mbali mbali nchini viongozi kadhaa akiwemo Naibu Rais William Ruto, kinara wa anc musalia mudavadi na katibu wa COTU Francis walichambua suala hilo.