×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kiongozi wa Wengi Adan Duale aongoza mjadala wa jinsia

6th April, 2019

Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Aden Duale amesema kuwa sheria ya usawazishaji wa uwakilishi wa jinisia katika nafasi ya umma ni tatizo la kisiasa wala mahakama haitatoa suluhisho. Katiba ya Kenya ya mwaka 2010 inaelekeza ugavi wa nyadhifa za kuchaguliwa na uteuzi zisipite thuluthi mbili kwa jinsia moja. Mswada huo umeangushwa maara kadhaa bungeni.

.
RELATED VIDEOS