.
6th April, 2019
Baraza la mawaziri wa jumuiya ya afrika mashariki lilifanya mkutano wake wa 30 mjini kigali rwanda kujadili matatizo yanayokumba jumuiya. Kati ya mambo yaliyojadiliwa kwenye mkutano huo kulingana na mwanahabari wetu wa Rwanda adrian kowi ni pamoja na kukosa hamasa kwa wananchi, ukiritimba katika kufanya maamuzi na kutowahusisha washikadau katika kufanya maamuzi muhimu kati ya mambo mengine.