×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Kaunti ya Samburu Moses Lenolkulal ameachiliwa kwa dhamana ya Kshs. 100 milioni

2nd April, 2019

Gavana wa Kaunti ya Samburu Moses Lenolkulal ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni mia moja hasmini na mdhamini wa kiasi sawa na hicho au pesa taslimi shilingi milioni mia moja. Gavana huyo anaandamwa na kesi ya ufisadi ya kupokea mamilioni ya pesa kwa ajili ya utoaji wa huduma kwa kaunti yake kupitia kampuni yake. 

.
RELATED VIDEOS