×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kampeni za uchaguzi mdogo zimechacha katika eneo bunge la Ugenya

1st April, 2019

Kampeni za uchaguzi mdogo zimechacha katika eneo bunge la Ugenya. Chama cha odm kinaendeleza kampeni hizo chini ya uongozi wa Seneta wa Siaya James Orengo ambapo wameendeleza matamshi ya kumpasha Naibu Rais William Ruto kwamba hajajinasua bado kutoka kwa minyororo ya ya kubanduliwa ofisini.

.
RELATED VIDEOS