.
30th March, 2019
Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua amemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwa wazi na kuwataja maafisa serikalini wanaoshiriki ufisadi. Mutua amesema kuwa wakuu serikalini wanaoshiariki ufisadi wanaatakiwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria.