×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

DPP Noordin Haji afanya mkutano na wamiliki katika viombo vya habari

27th March, 2019

Masuala ya ufisadi na haki kwa jamii zilitawala mazungumzo katika  mkutano kati ya wahariri wa vyombo vya habari, mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma noordin hajji na wadau mbalimbali katika sekta hiyo. Hajji ametoa wito kwa vyombo vya habari kutoa taarifa zaidi kuhusu sakata za ufisadi au ukosefu wa haki ili kusaidia katika ujenzi wa taifa. Alitoa hakikisho la kupunguza msongamano wa kesi haswa zinazohusiana na ufisadi ambazo zimeathiri uchumi wa taifa. Kwa upande wao waandishi wa habari wametilia mkazo kuwepo kwa  vyombo huru vya habari na kutonyanyaswa kwa waandishi wanaotoa taarifa za sakata mbalimbali. 

.
RELATED VIDEOS