×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ulemavu si kikwazo kwa Lokuta Ewoi mwenye hana mikono

25th March, 2019

Kuna baadhi ya watu katika jamii wanaochukulia  ulemavu kama kizuizi cha kuafikia ndoto  zao  ilhali wengine huchukulia hali hiyo kama fursa ya kujiendeleza. Mmoja wa watu watu hao ambao wamechukulia ulemavu kama fursa ni Lokuta Ewoi ambaye amekuwa katika msitari  wa mbele  kupigania haki za watu wenye ulemavu na kuondoa dhana  kuwa watu kama yeye hawana uwezo wa kufanya kazi kama watu wengine.

.
RELATED VIDEOS