×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia moja katika Kaunti ya Turkana yala ngozi ya ngamia

25th March, 2019

Familia moja katika kijiji cha kapong?turkana kusini wanaishi tu kwa kula ngozi ya ngamia wao waliokufa kutokana na ukame ambao umedumaza maisha katika kaunti ya turkana. Licha ya serikali ya kaunti kuanzisha mchakato wa kusambaza vyakula, maeneo mengine bado hayajapata chochote. 

.
RELATED VIDEOS