Watu wanne wamefariki katika eneo la Turkana kusini kutokana na baa la njaa

KTN News Mar 19,2019


View More on KTN Leo

Watu wanne wamefariki katika eneo la Turkana kusini, hali imeendelea kuwa tete katika kaunti ya Turkana huku wadau wanaohusika wakionekana kunyosheana vidole vya lawama.