19th March, 2019
Chama cha kutetea masilahi ya walimu KNUT kimezindua ripoti mpya inayoangazia mianya kwenye jaribio la serilaki la kuleta mtaala mpya shuleni. Knut sasa kupitia katibu wake mkuu wilson sossion inasema haiungi mkono jaribio hilo ikidai ni mpango ulio na msukumo kutoka nchi ya kigeni.