×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge wa zamani wa Mbooni Kisoi Munyao amelaumiwa kwa kuwalaghai wanafunzi

19th March, 2019

Mbunge wa zamani wa Mbooni Kisoi Munyao amelaumiwa kwa kuwalaghai wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali ya nchi kwa kuwaahidi ufadhili wa masomo kupitia Shirika lake lisilokuwa la serikali la The Kenya Youth Education fund kwa ushirikiano na chuo cha Foundation Institute of Africa. Inadaiwa Wanafunzi mia tatu hamsini walipokea ufadhili huo wa kusoma huku wakitakiwa kulipa takriban shilingi elfu ishirini ili kusajiliwa, na sasa wanafunzi hao hawako darasani wala nyumbani kwao.

.
RELATED VIDEOS