×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Roboti maalum, Elliq yajumuisha Wazee katika mambo yanayofanyika katika jamii | TEKNOHAMA

18th March, 2019

Maisha ya uzeeni kwa wengi ni wakati ambao huja na upweke. Wakati watoto wanaondoka nyumbani, mawasiliano yanapungua na watu wengi hujaribu juu chini kutokatiza mawasiliano. Teknolojia ya kisasa imeweza kurahisisha mawasiliano, lakini wazee bado huwachwa nyuma. Wazee pia wanaweza kujumuishwa katika mambo yanayofanyika katika jamii kupitia roboti hii maalum iitwayo Elliq.

.
RELATED VIDEOS