Shule ya Upili ya Kabarak leoimeadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwake | KABARAR 40TH ANNIVESARY

KTN News Mar 16,2019


View More on KTN Leo

Shule ya Upili ya Kabarak hii leoimeadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwake. Shule hiyo pia ilikuwa inasheherekea ushindi wao katika mitihani ya KCSE mwaka uliopita ambapo wanafunzi 30 walipata alama ya A. Viongozi Waziri wa Michezo Amina Mohammed aliyekuwa m geni rasmi alipongeza mwanzilishi wa taasisi hiyo Daniel Toroitich arap Moi kwa juhudi zake za kuinua kiwango cha masomo nchini.