×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hakimu pamoja na washukiwa watatu wametakiwa kupimwa akili

12th March, 2019

Hakimu anayehusishwa na mauaji ya mumewe ambaye alikua wakili pamoja na washukiwa wengine 3 wametakiwa kupimwa akili. Wanne hao walifikishwa kizimbani katika mahakama ya machakos, huku mahakama ikiamuru ripoti ya hali ya akili zao kabla ya kuanza kusikizwa kwa kesi yao. Wakifika mbele ya naibu wa msajili mkuu Kipchumba Kenei, aliamua kuendelea kuwazuia pauline chesang katika kituo cha athi river, huku sajenti richard moru, lawrence lempesi ambaye ni afisa wa nis aliyestaafu na constebo maundu mbithi kuzuiwa katika gereza la Machakos. Wataendelea kuzuiliwa hadi aprili 9 ambapo watahitajika kufika tena mahakamani. 

.
RELATED VIDEOS