Moto mkubwa uliteketeza soko la Toi katika mtaa wa Kibera

KTN News Mar 12,2019


View More on KTN Leo

Moto mkubwa uliteketeza soko la Toi katika mtaa wa Kibera hapa jijini nairobi na kusababisha hasara ya mamilioni ya pesa. Vile vile moto uliripotiwa katika jengo la public works nakuteketeza horofa ya kumi na moja pale ambapo inaamika kusheheni stakabadhi muhimu ya wizara ya uchukuzi na muundo msingi.