Uingereza imepiga marufuku ndege aina ya Boeing 737 max 8

KTN News Mar 12,2019


View More on KTN Leo

Uingereza imejiunga na mataifa mengine angalau matano katika kupiga marufuku kupaa kwa ndege aina ya Boeing 737 max 8 kwenye anga zake. Hii inafuatia maswali kuhusu usalama wa ndege hiyo ambapo ya punde zaidi kupata ajali ethiopia imeangamiza watu 157.