.
12th March, 2019
Mwakilishi wa kike Kaunti ya Nakuru Lisa Chelule amesema viongozi wa kaunti hiyo watashirikiana kuwaliwaza familia za waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya shirika la ethiopian airlines. Kaunti ya nakuru ni mojawapoi ya kaunti iliyopoteza watu zaidi kwenye ajali hiyo mabapo familia moja ilipoteza watu watano.