.
5th March, 2019
Chifu Juma kutoka Kaunti ya Bungoma ana nia ya kuhakikisha kuwa watoto wote katika eneo lake wanapata masomo. Anahakikisha kuwa maono hayo yanatimizwa kwa kuwakamata wazazi na pia kuwashurutisha kuuza mifugo yao ili kulipa karo. Carolyne bii na taarifa ya chifu huyo.