Ufadhili wa Kiswahili upo mashakani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

KTN News Mar 04,2019


View More on KTN Leo

Kamisheni ya kiswahili ya Afrika Mashariki iliyo na jukumu la kuendeleza lugha ya kiswahili katika nchi za jumuiya ya afrika mashariki inakabiliwa na upungufu wa bajeti unaokwamisha shughuli zake.  Kwa mujibu wa ripoti ya kamisheni hiyo iliyowasilishwa katika vikao vya bunge la nne la jumuiya ya Afrika mashariki linalofanyika visiwani Zanzibar nchini Tanzania.