Hakimu yupo mashakani kwa tuma ya kushiriki katika kifo cha mumewe

KTN News Mar 04,2019


View More on KTN Leo

Mahakama ya mavoko imeagiza kuzuiliwa kwa washukiwa wanne wanaosemekana kuhusika katika mauaji ya wakili Robert Chesang kwa siku tisa zaidi. Miongoni mwao ni mkewe Maisy Omulang'a ambaye ni hakimu katika mahakama ya Nyeri.