26th February, 2019
Mwanamume mmoja anazuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Naiberi kwa madai ya kumuua kinyama mpenziwe katika eneo la Kapsoya, kaunti ya uasin gishu. Mshukiwa anadaiwa kuutupa mwili wa mpenziwe kwenye tangi la maji kisha kumpigia rafikiye simu kumtaarifu aje amsaidie kuutupa mwili wa mpenziwe.