Bodi ya kuthibiti silaha nchini imeanza shughuli ya kuratibu wanaomiliki bunduki
26th February, 2019
Waziri wa usalama Dr. Fred Matiang’i kupitia bodi ya kuthibiti silaha nchini ameanza shughuli ya kuratibu wanaomiliki bunduki nchini. Ukaguzi huo utakuwa wa lazima ili kuhakikisha kuwa walio nazo wana vyeti sawa.