Ibrahim Sheikh wa chama cha KANU amewasilisha stakabadhi

KTN News Feb 26,2019


View More on KTN Leo

Ibrahim Sheikh wa chama cha KANU leo amewasilisha stakabadhi zake katika tume ya uchaguzi  tawi la wajir magharibi akitaka kuwaniakiti cha ubunge  katika uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe 25 aprili mwak huu. Hii ni baada ya mahakama ya upeo wa juu kutupilia mbali ushindi wa aliyekuwa mbunge wa sehemu hiyo kolosh mohamed. Alisindikizwa na wabunge wa chama hicho william kamket na naisula lesuuda miongoni mwa wanasiasa wengine wa chama cha KANU.