Baadhi ya nguzo kuu za Ruwaza ya Mwaka 2030 zimesalia kuwa ndoto
25th February, 2019
Wakati uzinduzi wa Ruwaza ya Mwaka 2030 chini ya Rais Mwai Kibaki ulipofanyika mwaka 2008, baadhi ya nguzo kuu za ndoto hii ilikuwa ni kubuni miji sita yenye dhamira ya kupanua uchumi.