×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Misongamano ya miili katika mochari ya Rufaa ya Iten katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet

25th February, 2019

Na kwenye kisa cha kuvunja moyo katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet ni kwamba misongamano ya miili katika mochari ya Rufaa ya Iten ambayo imesababishwa na uwepo wa miili ambayo haijatambuliwa na wenyewe imeifanya mochari hiyo kukosa nafasi na familia kutafuta hifadhi ya kuwasitiri wapendwa wao. Na kama anavyoraifu elvis kosgei, familia sasa zimelazimika kutafuta hifadhi kwingineno.

.
RELATED VIDEOS