×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Kitui Enoch Wambua anadai haki kwa watu 36 waliokamatwa

25th February, 2019

Seneta wa Kitui Enoch Wambua anadai haki kwa watu 36 ambao anadai ni wenyeji wa Kaningo, eneo la Tseikuru Kaunti ya Kitui waliokamatwa, kufunguliwa mashtaka eneo la maua kaunti ya meru na kisha kuzuiliwa huko.tetesi hizi zimesababishwa na malalamiko kutoka kwa wenyeji wa kitui wanaosaka majibu kuhusu kilichosababisha watu hao kufunguliwa mashtaka kaunti ya meru ilhali kuna mahakama kitui.

.
RELATED VIDEOS