Familia katika Kaunti ya Kakamega inaishi kwa hofu ya kizazi kizima kuangamia

KTN News Feb 23,2019


View More on KTN Leo

Familia moja katika Kaunti ya Kakamega inaishi kwa hofu ya kizazi kizima  kuangamia  kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao umekuwa ukiwaathiri watu wa familia hiyo mmoja baada ya mwingine.  Wakizungumza na mwandishi wetu wa maswala ya afya dr. Mercy korir, watu wa familia hiyo sasa wametoa ombi la wataalam wa tiba kuwasaidia kutegua kitendawili cha maradhi hayo.