×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Marsabit ipo chemichemi ya maji ambayo tangu jadi haijawahi kukauka | TEMBEA KENYA

23rd February, 2019

Eneo la Kaskazini Mashariki linatambulika kwa njaa na kiangazi. Lakini katika Kaunti ya Marsabit ipo chemichemi ya maji ambayo tangu jadi haijawahi kukauka.wakaazi wa eneo hilo wanadai kutohangaishwa na kiangazi wala athari zozote za ukosefu wa mvua. Nilizuru maeneo hayo ya kalacha na hii leo yanatupambia makala ya tembea kenya.  

.
RELATED VIDEOS