×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afueni kwa Boniface Murage aliyekamatwa na kufikishwa mahakamani

19th February, 2019

Boniface Murage alijulikana na wengi  jana siku ya Jumatatu baada ya kujaribu kumtorosha mwanawe wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja na siku sita kwa kumficha kwenye begi kutoka hospitali  ya kitaifa ya Kenyatta, kwa kitendo hicho, alikamatwa na kufikishwa mahakamani, ambapo mambo yalichukua mkondo wa afueni kwake na deni lililomzonga kulipwa licha ya kupewa masharti na mahakama.

.
RELATED VIDEOS