Kazi ya kusuka vikapu na mikeka kwa saa ishirini na nne | Bongo la Biashara

KTN News Feb 19,2019


View More on KTN Leo

Hii leo kwenye makala yetu ya kila jummanne ya bongo la biashara tunamwangazia jamaa mmoja kutoka Kaunti ya Uasin Gishu ambaye anafanya kazi ya kusuka vikapu na mikeka kwa saa ishirini na nne. Wengi mjini eldoret humdhania kuwa na akili taahira lakini charles aluanga hupata kipato cha haja kinachomkidhi maishani.