ODM kimempa tiketi Prof. Yussuf Elmi kugombea kiti cha Ubunge cha Wajir West

KTN News Feb 19,2019


View More on KTN Leo

Chama cha ODM kimempa tiketi ya moja kwa moja Prof. Yussuf Elmi kugombea kiti cha Ubunge cha Wajir West kwenye uchaguzi mdogo ulioratibiwa kufanyika tarehe 25 aprili. Prof elmi sasa atatoana kijhasho na wagombea wengine miongoni mwao ahmed kolosh wa chama cha jubilee ambaye alikihama odm baada ya ushindi wake kufutiliwa mbali na   sheikh abdirahman ibrahim wa kanu na daudi muhammed  ali wa ford kenya. Prof elmi aliwania kwenye uchaguzi mkuuuliopita kwa tiketi ya chama cha wiper akaibuka wa tatu.