×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Pokot wapata maji

18th February, 2019

Wakazi wa kijiji cha kapsimatwa eneo bunge la pokot kusini wamefurahia zawadi ya maji waliyotunukiwa na mbunge wao. Eneo hilo limeshuhudia ukosefu wa maji ambao unachangia wanafunzi kukata masomo shuleni ili  kutafuta maji. Ray polo anasimulia shida za wakaazi pamoja na afueni waliyonayo kutokana na zawadi hiyo ya maji.

.
RELATED VIDEOS