×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Wauguzi waagizwa kufika mbele ya mahakama

18th February, 2019

Mahakama imewaagiza viongozi wanne wa muungano wa wauguzi wakiwemo katibu mkuu seth panyako,naibu wake maurice opetu, msaidizi wao asha ali ido na mwenyekiti w akitaifa  john gwasi kufika mbele ya mahakama hiyo siku ya jumanne tarehe 26  mwezi huu, kujibu mashtaka ya kupuuzilia mbali agizo la korti, lilowataka kuuzima mgomo wao. Kauli zilizowasilishwa na baraza la magava kupitia wakili wao eugene lawi, ni kuwa wauguzi walipokezwa amri ya mahakama ikiwataka  kutupilia mbali mgomo kwa ajili ya mazungumzo, ila wakili ya wauguzi alishikilia kuwa bado wauguzi hawajapokezwa amri hiyo. Hata hivyo jaji nelson abuodha aliyeskiza kesi hiyo alisema kuwa wauguzi walikuwa na maarifa kuhusu amri hiyo na matamashi yoyote katika vyombo vya habari ikiungaa mkono mgomo huo utatazamwa na mahakama hiyo kama ukaidi wa sheria za mahakama.

.
RELATED VIDEOS