×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Kenya wataka Somalia kuheshimu mipaka ya Kenya

18th February, 2019

Viongozi wa siasa wametoa maoni mbalimbali kuhusu mzozo uliopo wa umiliki wa sehemu ya bahari hindi kati ya mpaka wa kenya na somalia. Waziri wa zamani wa mambo ya nje moses wetangula, mbunge wa aldas adan keynan na naibu spika wa senate prof. Kindiki kiture wamesema suala hilo linatakiwa kushughulikiwa kwa tahadhari. Kenya ilimwagiza balozi wake somalia lucas tumbo kurejea kwa mashauriano zaidi sawa na kumtaka  balozi wa somalia kenya kuondoka.

.
RELATED VIDEOS