×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chuo cha Kaiboi kimefungwa baadaya msichana kuuwawa na mpenzi wake

18th February, 2019

Chuo cha kutoa mafunzo ya ufundi cha kaiboi kimefungwa kwa muda usiojulikana baada ya kisa cha msichana mmoja mwanafunzi kudaiwa kuawa na mpenzi wake kwenye maswala yanayofungamanishwa na mapenzi. Hali ya taharuki ilitanda shuleni humo hivyo kuwalazimu wadau wanaohusika kufunga chuo hicho kwa dharura. 

.
RELATED VIDEOS