Mbuga ya Lewa yalibuniwa kuhifadhi wanyama | Tembea Kenya

KTN News Feb 16,2019


View More on KTN Leo

Kenya nafahamika kuwa na wanyama pori wa aina yake, huku idadi ya wanyama fulani ikipatikana katika eneo la kaskazini mwa Kenya pekee. Kutokana na uwindaji haramu, idadi ya wanyama hawa imekuwa kwenye hatari ya kupungua na katika juhudi za kuwahifadhi, maeneo kama hifadhi ya wanyama ya lewa yakabuniwa. Hifadhi hii ya lewa ndiyo inayotupambia makala yetu ya kila wiki ya tembea kenya kama george maringa anavyotuarifu.