×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Marsabit waliwapa viongozi wao maji machafu

16th February, 2019

Wakaazi wa eneo la karare, kaunti ya Marsabit waliwakaribisha viongozi wa kaunti hiyo kwa maji chafu kwenye chupa walipohudhuria mkutano katika eneo hilo swala lililozua mjadala mtandaoni. Wenyeji hao sasa wameelezea kuwa maji hayo ni ishara ya hamaki waliokuwa nayo kwa viongozi wao. Sirajurahman abdullahi na anatuelezea zaidi.

.
RELATED VIDEOS