×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi wa Butere ajiua katika bweni

16th February, 2019

Polisi katika Kaunti ya Kakamega wameanzisha uchunguzi kutokana na mauti ya mwanafunzi mmoja. Mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu katika shule ya wasichana ya butere alipatikana kwenye bweni akiwa amefariki. Inakisiwa kuwa msichana huyo aliyetambuliwa kama elizabeth musoi alipotea wakati wa mapumziko ya adhuhuri kabla ya maiti yake kupatikana. Bado haijabainika kama alijitia kitanzi au aliuwawa.

.
RELATED VIDEOS