.
13th February, 2019
Chuo kikuu cha Maasai Mara kwa ushirikiano na chuo kimoja cha sayansi huko Uchina kinapania kujenga kiwanda cha kutengeza dawa za tiba asili. Naibu chansela wa chuo hicho prof mary walingo amesema kwamba sampuli mia mbili na kumi za mimea, tayari imeshatambuliwa kwa ufanisi wa utafiti huo.