Huduma za kimatibabu katika kaunti kumi na tatu zimetatizika
11th February, 2019
Huduma za kimatibabu katika kaunti kumi na tatu zimetatizika huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku yake ya nane. Carolyne bii amekuwa akifuatilia mgomo huo na kutuandalia taarifa hii.