Mfumo mpya wa kulinda magari dhidi ya wizi | Teknohama

KTN News Feb 11,2019


View More on KTN Leo

Kwenye makala ya Teknohama wiki hii tunaangazia mfumo mpya wa kulinda magari dhidi ya wizi kwa kutumia teknolojia ya microdot. Mfumo huu unatumia chembe chembe za madini ya chromium ambayo hata gari liibiwe na kukatwakatwa kila kipande kikimulikwa hutoa taarifa zote za gari.