×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyakazi wa Kaunti ya Nairobi wametangaza kuandaa mgomo

11th February, 2019

Wafanyakazi wa Kaunti ya Nairobi wametangaza kuandaa mgomo na kuvuruga shughuli zote jijini kuanzia hapo kesho ili kushinikiza utekelezaji kikamilifu wa makubaliano ya mkataba. Katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi wa serikali za kaunti nchini, roba duba, amesema mgomo huo umetokana na hatua ya wizara ya fedha kukataa kutoa fedha kwa serikali ya kaunti ya nairobi kwa ajili ya kuwalipa wafanyikazi kwa mujibu wa makubaliano hayo ambayo sasa yamesajiliwa katika mahakama ya kutatua mizozo ya uajiri.

.
RELATED VIDEOS