Wauguzi wakaidi amri ya mahakama iliyowataka kusitisha mgomo wao

KTN News Feb 06,2019


View More on KTN Leo

Wauguzi wakaidi amri ya mahakama iliyowataka kusitisha mgomo wao kwa kipindi cha siku sitini kutoa fursa ya mazungumzo kufanyika.